Monday, 3 May 2021

MATUKIO KATIKA PICHA KWENYE MCHEZO NA FLORIDA VETERANS

FLORIDA VETERNS YAPIGWA MAGOLI 2-1 NA SURVEY VETERANS

Sunday, 7 February 2021

MOROCO VETERANS YAPIGWA GOLI 3-1

Magoli ya Ally Mgaya, Richard Mbunda na Bato yalitosha kuwaangusha Moroco Veterans ambao ilikuwa mara yao ya kwanza kucheza kwenye uwanja wa nyumbani wa SVSC.

Monday, 19 October 2020

TFL BONANZA TCC CHANG'OMBE: SURVEY VETERANS YAINGIA FAINALI.

 

Mwenyekiti Survey Veterans  Bw. John Mbitu kushoto waliokaa wakifuatilia mchezo huku wachezaji wengine wa SVSC wakifuatilia kwa karibu

Timu ya Survey Veterans imeingia fainali ya Michuano ya Bonanza lililoandaliwa na TFL katika kuazimisha siku ya Kumbukumbu ya kifo cha Mwl Nyerere baada ya uitoa Timu ngumu ya Azam Veterans. Penati mbili zilizopanguliwa na golikipa hatari Kiribe Soso" zilitosha kuwaondosha Azam kwenye Michuano hiyo.

Golikipa Kilibe akidaka mpira uliopigwa na Winga hatari wa Azam Veterns.


Monday, 24 August 2020

MATUKIO KATIKA MCHEZO

From other Country... Jeff Jeff...


FLORIDA VETERANS YAILAZA SURVEY VETERANS

Kiungo mchezesha timu Shabani Kambabhe akitoa pasi kwa mwenzake hayupo pichani. SVSC ilifungwa magoli 6-5

Ikiwa imesheheni vijana wenye uwezo mkubwa, Timu ya Floria iliwafunga wazee wa Survey Veterans kwa magoli 6-5
Timu ya Survey Veterans waliosimama mstari wa mbele kutoka kulia ni Siasa ( Siabonga), Agogo, Mwemezi, Innocent Lyimo, Shabani Kambabhe, Richard Mbunda, Hamad Shaweji, Mkapa, Elly na Mwalimu Bomba. walioinama mstari wa kati ni golikipa Mbaga, Peter Simon, Gagarino, Batto, Michael Simbaulanga, Captain Peter Ngassa. Na waliokaa chini mstari wa mbele kutoka kushoto ni Magoti, Tresor, Nelson, Kilibe, Peter ndosa na Beki hatari.

Ticktack ...Peter Ndosa SVSC


….Gooo gogogoooooooo…… Macelo


Timu ya Florida Veterans

Wednesday, 22 July 2020

KIMARA VETERANS KIBONDE MBELE YA SURVEY VETERANS

Timu ya SVSC waliosimama kutoka kulia ni Trezoo, Baton, Simango, Elly, Siasa, Hamisi Shomari (gagarino), Innocent Kuzengwa, Nelly, Mkapa, Peter Ndossa na Mwl Bomba. Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Golikipa William, Shevichenko, Peter Ngassa, Emmanyel mwandumbya, Kilibe Soso, Magoti, Michael Mvanga na Mussa Siwiti.

Timu ya Kimara Veterans ilijikuta katika wawakati mgumu baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-3 mbele ya Timu Hatari SVSC.Magoli mawili ya Trezoo na Gagarino yalitosha kuwaangamiza timu pinzani ya Kimara Veterans.
Dr Magoti akipiga shuti kali lkn halikulenga goli huku Trezoo akimfuatilia kwa aribu...


Siabonga Siasa akimiliki mpira kwa kiwango cha juu sanaaa 

Gagarino akifunga goli la nne kukamilisha ushindi wa 4-3 huku mabeki wa upinzani wakiwa hawana la kufanya

Winga hatari Mussa Siwiti akielekea goli la hadui huku wenzake wawili wakiwa karibu kumsaidia