Timu ya SVSC ilirejea nyumbani siku ya jumatatu baada ya kushiriki michuano ya pasaka Visiwani Zanzibar na kushinda michezo yote minne na kunyakua kikombe kwa mara ya nne mfululizo.
![]() |
Captain Jeff Tibenda wakisalimiana na Captain wa Wazee Sports kabla ya mchezo kuanza. |
![]() |
Captain of the Year... Jeff Tibenda. |
![]() |
Jeshi la akiba.... |
![]() |
Timu mbili mchanganyiko katika mchezo wa awali ambapo SVSC ilishinda kwa magoli 2-1 |
![]() |
Peter Simon Akiwasili Unguja tayari kwa mashindano ya Pasaka ambapo SVSC iliibuka mshindi na kuchukua Kombe. |
![]() |
S. Malongo na Michael Simbaulanga wakiwasili Mjini Unguja. |
![]() |
Suleiman Mgaya mbele akifuatiwa na mtoto wake na wachezaji wengine wakiwasilimjini Unguja. |
![]() |
Benson Mwemezi kulia na Mwl. Bomba kushoto wakiwasili visiwani Zanzibar. |
![]() |
Osca Coby beki kisiki naye alikwepo..... |
![]() |
Dulaaaaaa....... |
![]() |
Mnyamaaaaaaaaa Iddy Ngaoneka....akiwasili visiwani Zanziba. |
![]() |
Mzee wa Vumbi nae alikwepo....... |
![]() |
Blogger Mussa Siwiti kulia na Peter Simon wakiwa nje ya Bandari ya Zanzibar wakisubiri wenyeji wetu. |
![]() |
wadau wote wameteremka wanasubiri kuelekea hotelini. |
![]() |
Wachezaji wakiwa kwenye gari ya pamoja kuelekea Hotelini. |