Monday, 23 September 2019
SURVEY VETERANS YALIPA KISASI KWA GYMKANA CLUB
01:45
No comments
Ilikuwa usiku wa furaha sana baada ya Magoli mawili kutoka kwa straika mwenye misuri minene Salvatory Malongo yaliiwezesha timu ya SVSC kuifunga Gymkana kwa magoli 2-1.
![]() |
.....Ukifika golini tulia..... Golikipa Kilibe akimuelekeza malongo atakapokuwa uwanjani. |
![]() |
.......Edgar Devis....... wa SVSC Shaban Seleman akipasha misuri moto kabla ya mchezo kuanza. |
![]() |
Mwenyekiti katikati mwenye mpira, Captain kulia na Sha pele wakimsikiliza mwalimu abla ya mchezo kuanza. |