Tuesday, 15 October 2019
BONANZA TANGA: ARUSHA ALL STAR YALALA KWA 3-1 MBELE YA SURVEY VETERANS
01:26
No comments
BONANZA TANGA: SVSC YALAZWA 2-1 NA KOROGWE VETERABS
01:15
No comments
![]() |
Mvua kubwa....Hivi ndivyo ilivyokuwa... Kiungo hatari na Naodha wa timu ya SVSC Peter Ngassa akimsaidia Kelvin Haule mwenye mpira katika mechi ilikuwa iichezwa kwenye uwanja uliojaa maji. |
Mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha mkoani Tanga ilisababisha uwanja kuwa katika hali mbaya na kupelekea SVSC kufungwa magoli 2-1 kwa Tabu sanaaaa
![]() |
Kelvin haule Mwenye jezi namba 31 wa SVSC akiwa amekusanya kijiji kuelekea golini kwao |
![]() |
....Gooooooool. Kelvin Haul wa SVSC akiifungia goli timu ya SVSC |
SURVEY VETERANS ZIARANI TANGA
00:53
No comments
Timu ya SVSC imeondoka leo kuelekea jijini Tanga. Pamoja na mambo mengine itashiriki Bonanza liliandaliwa na Timu Mwenyeji ambapo timu kama Moro Veterans, Tanga Veterans ,Kitambi noma Veterans na Timu zingine zinashiriki katika bonanza hilo.
SURVEY VETERANS YALALA 2-0 MBELE YA TPDC
00:34
No comments
![]() |
Winga hatari Musa Siwiti akiwindwa na mabeki watatu wa timu ya TPDC katia mchezo uliofanyika katika uwanja wa TPDC . |
Ikichezesha vijana badala ya Veterans Timu ngumu ya SVSC ilifungwa wa tabu na timu ya TPDC. Ilibidi wasubiri hadi kipindi cha pili kupata magoli baada ya mchezo mzuri uliooneshwa na SVSC.
![]() |
Sha- Pelle akiwa katika kumiliki mpira mbele ya mabeki wawili wa TPDC katika mchezo ambapo SVSC ililala kwa 2-0 |
![]() |
Revis akimiliki mpira huku John Mbitu aimwekea ulinzi kuhakikisha haupotei .....alikuwa man of the March. aliupiga mwingi sanaaaaaaa.... |