Friday, 20 April 2018

ALBERT SENGO NA Dkt. MWINYI OMAR WAFUNGAJI BORA WA MASHINDANO YA PASAKA 2018

Albert Sengo akipokea zawadi ya ufungaji Bora kutoka kwa Mkurugenzi wa Etina Bi Caty huku wachezaji na wapenzi wakifurahi pamoja nae. ...Hongera sana 
Dkt Omar Mwinyi akipokea zawadi ya ufungaji Bora kutoka kwa Mkurugenzi wa Etina Bi Caty huku wachezaji na wapenzi wakifurahi pamoja nae. ...Hongera sana 


Frank Gaspar Kushoto, Salom Mvule katikati na John Mbitu wakifurahi pamoja na mfungaji bora Dkt Mwinyi aliyeonesha zawadi yake aliyeipokea baada ya kutangazwa kwamba yeye ndiye mfungaji bora wa mashindano ya Pasaka 2018




Mkurugenzi wa Etina Bar and Restaurant Bi Caty akitoa zawadi za washindi tayari kwa kuwakabidhi.


Wednesday, 18 April 2018

NI Dkt.OMARY MWINYI NA JEFF TIBENDA 2017

Shukran zangu za dhati kwa uongozi, wachezaji na wanachama wa Survey Veteran kwa kutambua mchango wangu na kunipatia tuzo ya kuwa mfungaji bora wa mwaka 2017. Tuzo hii ni chachu kubwa sana katika kufanya vizuri zaidi. Pia nawashkuru kwa kunipa zawadi ya mfungaji katika mechi ya fainali dhidi ya Wazee Veteran kutoka Zanzibar


Kutoka kulia ni Mwenyekiti SVSC Bw. Peter Mweta, Dr Myinyi Omary mfungaji bora wa mwaka 2017, Jeff Tibenda mchezaji mwenye nidhamu 2017 na wa mwisho ni M//Kiti Bw Shaban Kambabhe
Bw Jeff Tibenda kushoto na Dr Mwinyi Omary wakionesha vyeti vyao vya ushindi baada ya kukabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika klabuni Etina Bar and Restaurant




Kutoka kulia ni Ally Mgaya mjumbe kamatui ya Ufundi, Dr Mwinyi omary mfungaji bora, Mohamed Adam kaptain, Jeff Tibenda mchezaji mwenye nidhamu na Mwl wa timu ya SVSC Bw. Ramadhani Bomba wakiwa pamoja na washindi wetu 



SHEREHE YA WAPENZI NA WANACHAMA WA SURVEY VETERANS KATIKA HAFLA YA UTOAJI WA ZAWADI



Mwenyekiti Survey Veterans Bw. Peter Mweta akiwahutubia wanachama na wapenzi wa Survey Veterans juu ya sherehe ya utoaji wa Zawadi kwa washindi wa mwaka 2017 na wafuNgaji bora wa mashindano ya pasaka ambapo Survey Veterans ilichukua kikombe kwa mara ya tatu mfurulizo
Wwapenzi na wanachama wa SVSC wakimsikilizqa mwenyekiti  aliyeshika Mike"( Luice tety kushoto, Chacha KIbago mwenye tshirt nyeusi, Innocent Lyimo mchaga mwenye t shirt ya orrange na wengineo

Mohamed Adam Zengwe" wa kwanza kushoto, M/Katibu Bw. Kambabhe wakimfuatilia kwa makini M/kiti 

Jeff Tibenda kutoka kushoto, Richard Mbunda, John Mbitu Benteke", Dr Omary Mwiny na Mzee carlos Mvule, wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti