Tuesday, 29 September 2015
Monday, 28 September 2015
UJIO WA BRUCE HELMAN WANOGESHA USHINDI WA SVSC
04:17
No comments
Ujiowa beki mbili wa timu ya Survey Veterans kutoka Marekani
ulinogesha ushindi wa goli 4 kwa bila dhini ya Magogoni Veterans.Kma
kawaida ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani iliwachukua dk 15 kupata
goli lake la kwanza.
![]() | |
Bruce Helman wa kwanza kutoka kulia waliochuchumaa (white Man) aliisaidia timu yake kupata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Magogoni Veterans |