Tuesday, 3 September 2019
MATUKIO YA PICHA KIKAO KIKIENDELEA.
22:48
No comments
Sunday, 1 September 2019
KIKAO CHA MAANDALIZI YA UJENZI WA MALIWATO PAMOJA NA KUKAMILISHA MALENGO YA SURVEY VETERANS YA KUADHIMISHA MIAKA 20
23:38
No comments
![]() |
Mwenyekiti SVSC Adv. John Mbitu akiongoza kikao cha maanadalizi ya ujenzi wa Choo na Bafu pamoja na kuadhimisha miaka 20 ya Survey Veterans. |
Kikao cha maandalizi ya kuadhimisha miaka 20 ya SVSC katika kutimiza malengo ya Ujenzi wa vyumba vya kubadilishia nguo na maliwato katika uwanja wa mazoezi.
![]() |
Wajumbe wa Mkutano kutoka kulia ni Bw. Jeff Tibenda, Eng Alex Lubida na Bw T Bilauri wakibadilishama mawazo kabla ya kikao kuanza. |
![]() |
Wajumbe kutoka kulia ni T. Bilauri,Benson Mwemezi, Madam Detah Daudi na Mwenyekiti John Mbitu wakimsikiliza mjumbe hayupo kwenye picha alipokuwa akichangia mada katika kikao hicho. |
![]() |
Mjumbe Bw. Peter Ngassa akifafanua jambo huku Mwenyekiti akimwangalia kwa karibu . |