Timu ya SVSC ilipofika jijini Dodoma ilipokelewa na M/M/kiti na kuwakaribisha chakula jioni ambapo timu pia ilitembelewa na Wapenzi na wanachama mbalimbali ka Mh Ridhiwani kikwete, Pius na Wengine.
![]() |
Wachezaji wa akiba.Kutoka kulia Innocent Lyimo, Meshack Mponda, Peter Ngassa Samwel Ntakamulenga na Godon |
![]() |
Benchi la ufundi na wachezaji wa Akiba wakifuatilia mchezo kwa makini. Kutoka kulia ni Captain Peter Ngasa, Mchezaji mwalikwa Samwel Ntakamulenga, Godon Chiggs, Pius, Mh Ridhiwan Kikwete, Said Seif |
![]() |
Mwenyekiti John Mbitu kulia, Mh Ridhiwani Kikwete, Chiggs na Ndomoki mstari wa nyuma aliyesimama ni Sports Lady Detah |
![]() |
Winga hatari Weston Kipangula akiwa siti ya mbele ili awahi kufika jijini Dodoma...... |
![]() |
Captain Peter Ngasa aliyesimama, akitoa maelekezo kabla ya safari kuanza. |
![]() |
Benson mwemezi kulia na Sparon Ngassa wakisubiri usafiri uwapitie tayari kwa safari ya Dodoma. |
![]() |
Vinywaji vilikwepo vya kutosha….. |
![]() |
Mwenyekiti John Mbitu akiwa na Mwenge wake taratiiiibu…. Safari ilikuwa nzuri |
![]() |
Dada Detah naye alikwepo safarini. |
![]() |
Shah Pelee…..kama kawa kama dawa…...Dodoma moja |
![]() |
Hapo sasa…… Nyama zilipata tabu sanaaaa… Dada Detar akionjeshwa nyama huku Weston akimwangalia kwa karibu |
![]() |
Huku Nyama mkononi bia…. Mwenyekiti SVSC |