Thursday, 20 April 2017

MATUKIO YA PICHA KATIKA MCHEZO WA SVSC vs WAZEE SPORTS

Raha ya ubingwa.. Innocent Lyimo (Mchaga) akibusu kombe baada ya kukabidhiwa....

Richard Mbunda na Tele kabla ya mchezo


Kipa hatari Shaha akiwajibika langoni mwake kuokoa michomo ya wazee Sports....

Katibu Suleiman Mgaya akifuatilia kwa makini mchezo 

Mlinzi hatari T. Bilauri na Peter Mweta  wakiwa makini kuhakikisha wapinzani hawapati nafasi ya kutufunga...

Haikuwa kazi rahisi

Mchomo hata ukiokolewa na kipa hatari Shaha...

Benson Hagai akijaribu kumfunga golikipa wa Wazee Sports lakini shuti lake liliokolewa.....



Kiungo hatari Shaban Kambabhe akiwa mchozoni kuhakikisha anasambaza mipira.....

SURVEY VETERANS BINGWA WA MASHINDANO YA PASAKA -ZANZIBAR


Wachezaji wa timu ya SVSC wakifurahia ushindi baada ya kukabidhiwa kombe lao. Kutoka baada ya kuifunga wazee Sports ya Visiwani Zanzibar. Kutoka kulia ni Peter Mweta (mwenyekiti),Mohamed Zengwe (Captain) Innocent Lyimo Mchaga, Malongo na Ally Mgaya.
Timu ya SVSC imetete ubingwa wake baada ya kuifunga timu ya Wazee Sports Club goli 1-0 lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga Africans Steven Nyenge (Stevovo).
Wachezaji wa Timu ya SVSC wakiwa na nyuso za furaha kabla ya mchezo katika uwanja wa Aman Mjini Unguja- Zanzibar. Kutoka kulia waliokaa, Osca Koby, Taliki, Richard Mbunda, Ally Mgaya, Mohamed Zengwe na  Steven Nyenge. waliopiga magoti mstari wa kati kutoka kushoto, Hamis Shomary, Ahmed Shaweji, Jumanne, Malongo, Said Seif na golikipa Hatari Shaha. waliosimama kutoka kulia ni Peter ngasa, Peter Mweta, Benson Mwemezi, Faraji, Shaban Kambabhe, Innocent Lyimo, Bilauri na Mwalimu wa Timu ya SVSC Ramadhani Bomba.
Steven Nyenge akiwa amembeba Hamis Shomar wakifurahia goli huku Peter ngasa na Coby wakimkaribia ili kumpongeza, goli lililoleta ushindi kwa Timu y SVSC



Captain wa SVSC Peter Ngassa akikabidhiwa kombe la ubingwa na mgeni rasmi katika uwanja wa Aman Zanzibar