Saturday, 11 July 2015

LEO TAREHE 12/07...NI SIKU YA KUZALIWA MWENYEKITI WA SVSC Bw. PETER MWETA.


 Bw. Peter Mweta (M/Kiti)  wa kwanza kushoto akikabidhi zawadi kwa  Bw, Bruce siku ya kuagana nae na katibu wa (SVSC) Bw. Suleiman Mgaya akishuhudia kwa karibu makabidhiano hayo.

Tuma ujumbe mfupi kumtakia maisha marefu na yenye furaha na amani.

MATUKIO KATIKA MCHEZO NA MPAKANI VETERANS








MATUKIO YA PICHA KATIKA MCHEZO HUO






Wednesday, 8 July 2015

TIMU YA MBEZI VETERANS YALALA 2-1 DHIDI YA SURVEY VETERANS


Iliwachukua dk 23 tmu ya mbezi veteran inayochezewa na mchezaji ambaye ni mwanachama wa Survey veteran Bw Octor kupata goli la kuongoza lililofungwa kwa mkwaju mkali kutokea upande wa kushoto. Kabla ya kwenda mapumziko Timu ya survey ilisawazisha kupitia kwa winga wake hatari Moses baada ya kupokea pasi mujarab kutoka kwa Peter Mweta (Mwenyekiti).

Kama ilivyo ada kwa Survey Veterans kucheza kwa dk 120 waliweza kupata goli la kuongoza liliofungwa tena na Moses. Kila timu ilifanya mabadiliko kadhaa ila matokeo yalibaki kwa survey Veteran kushinda mchezo huo.