Wednesday, 16 March 2016
MATUKIO KATIKA MCHEZO DHIDI YA BBV
01:20
No comments
![]() |
Mwalim Bomba akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Kiganga kulia na Benson Mwemezi |
![]() |
Peter NGasa Kushoto,James Kabambo,Maulasa mstari wa mbele, Musa Siwiti, Kiwanga,Salum Mvule na Mahoka Saidi Mstari wa nyuma. |
![]() |
Ahmed Salum na James Kabambo |
![]() |
Musa Siwiti (Blogger) |
![]() |
Fransis Kiwanga kabla ya mchezo |
![]() |
Rasul Ahmed kabla ya mchezo |
MATUKIO YA PICHA KABLA NA BAADA YA MCHEZO
01:09
No comments
BOKO BEACH VETERANS YALALA KATIKA UWANJA WAKE WA NYUMBANI
00:24
No comments
BOKO BEACH VETERANS YALALA KATIKA UWANJA WAKE WA NYUMBANI
Timu ya BBV ilijikuta katika wakati mgumu ilipokutana na kichapo cha bao 4-2 dhidi ya Survey Veterans katika uwanja wake wa nyumbani. Ikiwa ya kwanza kupata kupitia adhabu ndogo ilipigwa kiufundi na kumgonga mchezaji wao mmoja na mpira kuingia golini na kuhesabu goli la kuongoza.Iliwachukua dk 15 SVSC kusawazisha kupitia kwa Athumani Kione baada ya kuwapiga chenga mabeki wa BBV. Magoli mengine yalifungwa na Benson Hagai kupitia Kros mujarabu iliyopigwa na Benjamin Magadula. Magoli mengine yalifungwa na Hassan Musa
![]() |
Baadhi ya wachezaji wa SVSC wakipasha misuri moto kabla kuingia uwanjani |