Ndugu wanachama na wapenzi wa Survey Veterans Sports Club,Taratibu za safari ya Zanzibar imekamilika na timu itaondoka na msafara wa watu 32 ambao walijitokeza na waliokamilisha taratibu za safari. Safari itakuwa siku ya ijumaa na boti itakayoondoka saa 1 kamili asbh. Timu itaongozana na Mwenyekiti Bw. John Mbitu, M/M/kiti Eng. Shabani Seleman na Katibu mkuu Bw. Suleiman Mgaya pamoja na viongozi wengine wa kamati kuu na kamati ndogo ndogo.
Ratiba ya timu ikiwa Zanzibar
1. Mechi ya kwanza saa 8 mchana uwanja wa Mao Tsetung.2. Mechi ya pili saa 8 mchana uwanja wa Aman.
3. Mechi ya fainali itakuwa saa 4 asbh uwanja wa Mao Tsetung lakini itatanguliwa na mechi ya veteran maumbo na wakongwe itakayoanza saa 3.
asbh
4. Baada ya chakula cha mchana kuanzia saa 8 tutakuwa na tour ya kwenda kutembelea maeneo ya Nungwi.
Nawatakia maandalizi mema na mengine tutajulishana tukiwa huko kadiri tutakavyokuwa tukiyapata.
Nawaomba tuzingatie muda na kama Kuna anayehitaji tiketi yake kwa ajili ya kupata ruhusa nyumbani awasiliane nami ili asije akakosa ruhusa.
Wasalaam
Mr. John Mbitu
Mwenyekiti
SVSC
Yafuatayo ni majina ya watakaoiwakilisha SVSC unguja.
1. Salum A. Mvulle
2. John Mbitu
3. Meshack Mponda
4. Salvatory Malongo
5. Ally Mgaya
6. Geofrey Gasper
7. Ramadhani Bomba
8. Michael Simbaulanga
9. Japhet Tibenda
10. Suleiman Mgaya
11. Eng. Alex Lubida
12. Bruce Heilman
13. Kevin Chale
14. Frank Gasper
15. Dulla Kasim
16. Benson M. Hagai
17. Shaaban Kambhabe
18. MUSSA siwiti
19. Iddy Kaoneka
20. Peter Ngasa
21. Oscar Mwambinga
22. Damian Paul
23. Hamis Shomary
24. Peter Simon
25. Godfrey Nyigu
26. Arthor Heilman
27. Samson Mwakei
28. Samwel Mjema
29. Mohamed Adam
30. Innocent Kuzengwa
31. Faraji Ghaibu na
32. Hemed Nassor.