![]() |
Peter Mweta akifuatilia mchezo |
![]() |
Peter Simon na Richard Mbunda wakifuatilia mchezo |
![]() |
....Haikuwa rahisi. Richard Mbunda akiwa amesukumwa na baki baada ya kupiga krosi ambayo haikuzaa matunda langoni mwa BBV |
![]() | |
Hapa hupiti.....Hemed wa SVSC akijaribu kumtoka beki wa BBV katika mchezo wa kirafiki ambapo BBV ilishinda mchezo huo |