Saturday, 14 January 2017
MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA
21:47
No comments
![]() |
Mwenyekiti Bw. Peter Mweta kushoto na Bw. Suleiman Mgaya kulia wakipata chakula cha mchana siku ya boxing day |
Kama ilivyo ada kila mwaka timu ya SVSC kuadhimisha siku hii kwa kula pamoja na kubadilishana mawazo na kupanga mikakati ya mwaka mpya. Timu hukutana pamoja katika Bar ya Etina ambapo ndiyo makao makuu ya club hii.
![]() |
Wachezaji na wanachama wa SVSC wakipata chakula cha mchana |
![]() |
Bw David Kiganga na familia yake pia walikwepo |
![]() |
M/M/kiti akitoka kwenye foleni ya kuchukua chakula |
![]() |
"Niwekee kuku wawili " |
![]() |
Mhazini Dkt Shukia kulia na Frank Gaspar Kulia wakipata chakula cha mchana |
WACHEZAJI WATATU WALIOSIMAMISHWA WAMALIZA ADHABU ZAO NA KUUNGANA NA TIMU
21:31
No comments
SVSC ni moja ya Timu za Veterans ambazo nidhamu inatunzwa kwa hali ya juu sana. Lengo la Timu za veterans ni kwa ajili ya Michezo furaha na kusaidiana katika shuguli za kijamii. Kwa niaba ya Wapenzi na wanamichezo wa timu hii ya SVSC napenda kuwaahasa kupendana na kuheshimiana kama lilivyo lengo la timu yetu. Naomba umoja huu udumu na tuzidi kupendana
Peter Mweta
Mwenyekiti SVSC