Thursday, 11 July 2019
Wednesday, 10 July 2019
CHAKULA CHA MCHANA BAADA YA MECHI
23:47
No comments
![]() |
Wachezaji wa SVSC wakisubiri chakula baada ya mchezo kumalizika.... |
![]() |
Mwenyekiti Bw, John Mbitu kulia na Mwl Bomba wakipata chakula cha mchana baada ya mechi. |
![]() |
Dada Detah pamoja na timu wakipata chakula cha mchana...... |
Baada ya kutoka Mapinga timu ilipata chakula cha mchana kwa pamoja kama matukio ya picha yanavyoonesha..
MAPINGA VETERANS YALIPIZA KISASI KWA SVSC
23:19
No comments
Timu ya Mapinga Veterans ya Mapinga mkoani Pwani Wilaya ya Bagamoyo iliwafunga timu ya SVSC kwa magoli 4-2 katika uwanja wake wa nyumbani. wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wenye urefu wa M140 na mabonde mabonde, iliwachukua dakika 18 kupata goli la kuongoza kupitia washambuliaji wao. Magoli ya Survey Veterans yalifungwa na Sha Pelle na lingine lilifungwa na mchezaji mwingine.
![]() |
Kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Safu ya ulinzi, Michael na Peter Ndossa |
![]() |
Hamis Gaga kulia na Caarlos kabla ya mchezo kuanza |