Timu ya Survey Veterans imeibuka mshindi katika bonanza lililoandaliwa na wapima Ardhi (Surveyors) lilifanyika katika uwanja wa Chuo cha Ardhi Dar es salaam.
![]() |
Golikipa hatari wa SVSC Emmanuel Mwandumbya kushoto na Kaptain Mohamed Adam wakiwa wameshikilia zawadin za mshindi wa kwanza baada ya kukabidhiwa na mwanaaji wa Bonanza hili Bw. T. Bilauri. |
![]() |
Surveyor wanafunzi wakifurahia zawadi kutoka kwa Mratibu SV T.Bilauri baada ya kuibuka washindi wa pili katika bonanza hili. |
![]() |
Mwenyekiti wa Survey Veterans Bw. John Mbitu kushoto akiwashukuru waandaji wa Bonanza hili, na akimshukuru pia SV T. Bilauri kwa maandalizi mazuri ya Bonanza hili |