Tuesday, 23 July 2019
MATUKIO KATIKA PICHA TIMU IKIWA MAZOEZINI
01:20
No comments
Timu ya SVSC baada ya mazoezi wachezaji na wanachama wakimsikiliza kiongozi chini ya mtu.
![]() |
Madam Detah, Peter Ngassa na ,Siasa na Kelvin na wengine waliosimama wakimsikiliza kiongozi baada ya mazoezi. |
![]() |
Salvatory Malongo aliyevua chati akionesha msuli wake na six parks..... |
![]() |
,......Siyo mchezo haikuwa rahisi....... |
TIMU YA SVSC YAALIKWA WASENGO INN
00:53
No comments