Monday, 19 March 2018

MAANDALIZI YA KUELEKEA MICHUANO YA PASAKA

Wachezaji pamoja na wanachama wakimsikiliza Mwalimu hayupo pichani baada ya mazoezi kuelekea michezo ya pasaka

Captain Mohamed Adam akitoa maelekezo baada ya mazoezi kuelekea Michuano ya Pasaka Ambapo SVSC ni bingwa mtetezi wa kombe hili



Peter Simon kulia akiomba msahama kwa wanachama na wapenzi wa SVSC baada ya kufungiwa kwa muda wa miezi miwili asijihusishe na michezo na timu ya SVSC . Ila wanachama walimuombea msamaha na kuruhusiwa kuungana na timu kuelekea mashindano ya Pasaka Maana ni mchezaji muhimu sana Kushoto kwake ni  John Mbitu Mchezaji anayeongoza kwa "Hat-trick" kwa mwezi huu wa tatu katika timu ya SVSC

John Mbitu kushoto aliyesimama akipozi na kaka yake  aliyekaa kwenye kiti ambaye alikuja kutoka kenya kuja kumtembelea na kuona Timu anayochezea

0 comments:

Post a Comment