Timu ya SVSC ikiwa katika kituo cha mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani tayari kwa safari ya kuelekea Tanga pamoja na wadhamini wao National social security fund (NSSF)
Katibu Mkuu wa SVSC Bw. Suleiman Mgaya na Makamu Mwenyekiti nao walikuwa miongoni mwa wachezaji walioongozana na timu hiyo
Juu na chini ni wachezaji wa SVSC wakiwa kituo cha mabasi yaendayo mikoani tayari kwa safari
Timu ikiwa ndani ya Bus la Ratco Kuelekea Tanga
Picha za hapo chini zinaonesha Timu imewasili Tanga salama
Timu imewasili salama jijini Tanga
Picha juu na chini inawaonesha wadhamini wakuu wa SVSC (NSSF) wakiwa katika sare ya pamoja na wachezaji baada ya kuwasili salama jijini Tanga.
0 comments:
Post a Comment