
Timu ya SVSC waliosimama kutoka kulia ni Trezoo, Baton, Simango, Elly, Siasa, Hamisi Shomari (gagarino), Innocent Kuzengwa, Nelly, Mkapa, Peter Ndossa na Mwl Bomba. Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Golikipa William, Shevichenko, Peter Ngassa, Emmanyel mwandumbya, Kilibe Soso, Magoti, Michael Mvanga na Mussa Siwiti.
Timu ya Kimara Veterans ilijikuta katika wawakati mgumu baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-3 mbele ya Timu Hatari SVSC.Magoli...