
Ilikuwa penati iliyopigwa kwa ufundi mkubwa na Katibu mkuu wa SVSC Bw, Suleiman Mgaya iliipatia timu ya Survey Veterans goli la kuongoza katika kipindi cha kwanza katika mechi iliyochezwa usiku katika uwanja wa Amani mjini Zanzibar baada ya Mshambuliaji mwenye misuri minene kuangushwa katika eneo la hatari na mwamuzi kuamua ipigwe penati
Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu ikifanya mabadiliko mbalimbali ambapo Timu ya kombaini...