Wednesday, 3 April 2019

TIMU YA SVSC YAFUNGWA NA TIMUYA BOKO BEACH VETERANS

Kikosi cha Survey Veterans kutoka kulia walioinama : Paschal Fumbuka, Emmanuel Mwandumbya, Michael Simbaulanga, John Mbitu, Pruce Helman, Peter Simon, Richard Mbunda na Malongo Salvatory. waliosimama kutoka kulia ni Hemedy ,Maulidi, Japhet Tibenda, Geofrey Nyigu, Dominic Mbwete, Hamad Shaweji, Kelvin, Mwalimu Bomba na Siasa. SVSC ilijikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na kipigo cha goli 7-1kutoka kwa Boko Beach Veterans. Ikiwa na vijana...

MUWAKO !!!!!!! MUWAKO!!!! MUWAKO!!!!!

Pub hii iko maeneo ya Makongo DTV. Ni Pub inayouza vinywaji vya aina zote na ina wahudumu warembo na wanaofanya kazi zao kwa weredi mkubwa. Tafadhari tembelea Pub hii kwa vinywaji baridi na moto.Pia kuna nyama mbuzi choma, kuku choma, supu za aina zote na michemsho mbalimbali. ...

MUWAKO PUB KWAWAKA!!!

Wapenzi na wanachama wa Survey Veterans walikusanyika katika sehemu ya Biashara ya mwanachama mwenzetu Bw. Weston Kipangula (MC) kwa ajili ya Supu pamoja na nyama choma. Burudani ambayo aliiandaa kwa ajili ya wanachama wenzake kwa ajili ya kumuunga mkono kwenyebiashara yake. Shughuli iliienda vizuri ikiongozwa na Mwenyekitiwa SVSC Bw. John Mbitu pamoja na wanachama wengine. ...