
Timu ngumu ya Veterans mkoa wa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla timu ya Survey Veterans imekuwa tishio kwa timu za veterans za mkoa wa Dar es salaam kwa sababu ya kikosi kipana kinachounda timu hii. Timu hii inaundwa na wachezaji wengi wastaafu wa timu ya Taifa pamoja na wachezaji wengine.
Ni timu pekee inayocheza kwa muda wa masaa mawili katika mechi moja. kwa hiyo timu yeyote inayotaka kucheza lazima ijiandae kwa muda huo.
...