
Timu ya survey veterans jumapili iliendeleza kasi yake pale ilipoifunga timu ya Corner Veterans kutoka kimara kwa magoli 6-3. Ikiwa katika kiwango chake bora iliwachukua dakika 15 kuandikisha goli la kwanza lililofungwa na Paschal Fumbuka na mengine kufungwa na washambuliaji wengine.Mwalimu wa timu ya Coener veterans alikisifu kikosi cha SVSC na kueleza kwamba ni timu yenye wachezaji wengi na kila mara wanafanya mabadiliko ili kumchosha mpinzani....