
Timu Manager Madam Detah akiwa na Captain wake Mohamed Zengwe kabla ya mchezo kuanza.
Kama ilivyo kawaida kwa Timu ya Survey Veterans kusherehekea Siku kuu ya mwaka mpya kwa kucheza mechi za Wenyewe kwa wenyewe. Timu Ziliundwa kwa kusaidia na Manahodha wa pande zote mbili Timu zilipewa majina ya wanachama Wenzetu ambao ni wanawake Dada Datah na Mama ambaye hutuhudumia juice wakati wa Mazoezi. Baada ya mpambano mkali timu ya Detah ilishinda...