Wednesday, 18 February 2015

SVSC YALAZIMISHWA SARE YA 3-3 NA KIGOGO TZF VETERANS

Kwa mara ingine timu ya SVSC imelazimishwa sare ya goli 3-3 na timu ya Veterans ya Kigogo katika uwanja wake wa nyumbani. Magoli mawili ya Survey yalifungwa kwa mikwaju ya penati na Capt Msaidizi Ahmad Shaweji na goli la tatu lilifungwa na Dula....

MAZOEZI JUMAMOSI IJAYO YATAFANYIKIA MUDA WA SAA MOJA KAMILI.

Ndugu wanachama wa SVSC, mazoezi jumamosi hii yatafanyika kuanzia saa moja kamili asubuhi. Hii ni kutokana Bonanza la (Bar Footbal Bonanza ambalo litafanyika kuanzia saa tatu kamili. TUNAHIMIZWA KUWAHI MAPEMA . Ramadhani Bomba Mwl SV...