
Timu ya wahenga Sports Club inayoundwa na waandishi wa habari za
michezo toka vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo Tv Magazeti na Radio,
walikutana na dhahama pale walipobugizwa magoli 5-0 na Svsc. Alikuwa ni
Dr. Mwinyi ambaye alifungua ukurasa wa magoli yakifuatiwa na magoli yaliyofungwa na Mh Ridhiwani kikwete, Hassan Musa na Moses. hadi mpira unaisha SVSC 5 na Wahenga hawakupata kitu.
Kiungo shabani Kambabhe na Frank Maria wakinyoosha...