Monday, 22 September 2014

TIMU YA UKAGUZI YAPIGWA 3-2 NA SURVEY VETERANS

Katika mechi ya kirafiki ya tarehe 21/09/2014 iliyochezwa katika uwanja wa nyumbani wa Survey Veterans, Iliwachukua dk 5 timu ya UKAGUZI kupata goli la kuongoza lakini kabla ya dk 10 SVSC walisawazisha kupitia kwa Beki wake hatari Ahmad Shaweji. Hawakuwa wabaya sana, ila kama ilivyo ada" Timu ya SVSC huwa haidharau timu yoyote.. Magoli ya ma striker hatari wa SVSC, Benson Hagai na Richard Mbunda yalitosha kupeleka "simanzi" kwa timu ya UKAGUZI baada...