Sunday, 13 December 2015

TIMU YA VIJANA YA UKAGUZI YAIFUNGA SURVEY VETERANS GOLI 5-1

Timu ya vijana ya Ukaguzi imeifunga Survey Veterans goli 5-1 katika uwanja wake wa nyumbani katika mchezo uliochezwa jumapili tarehe 12/12/2015. Timu ya Vijana ya Ukaguzi ikichezesha Vijana wengi tofauti na Survey Veterans, iliwachukua dk 20 kupata magoli ma nne.Hii inatokana na uwezo wao kama vijana ukilinganisha na wazee wa Survey Veterans.Hadi timu zinaenda mapumziko, Timu ya vijana ya Ukaguzi ilikuwa inaongoza kwa goli 4-0. Kipindi cha...

MATUKIO YA PICHA KATIKA MCHEZO HUO

Winga hatari Musa Siwiti muda mfupi kabla ya mchezo kuanza Kutoka kulia Dulla mshambuliaji hatari, T.Bilauli, Kiganga D., Beki hatari Dkt Kibasa D, Capt Ngassa, Beki hatari Ahmed Salum, Beki ya kati James Kabambo na Winga hatari Musa Siwiti wakimsikiliza mwalimu hayupo pichani kabla ya mchezo kuanza Beki hatari ikipasha misuri moto kabla ya mchezo kuanza Beki visiki Ahmed na Dkt Kibasa wakipasha misuri moto kabla ya mecho kuanza Kutoka...

TIMU YA LUGALO VETERAN YALAZIMISHA SARE YA 3-3 KWA SURVEY VETERAN

Ilikuwa mchezo mkali katika uwanja wa Lugalo Veteran  zilipokutana timu ambazo zinaelekea kuwa ni wapinzani wa muda mrefu. Mara ya mwisho zilipokutana katika uwanja wa Nyumban wa Survey Veteran, timu ya Lugalo ilishinda wa goli 3-2 na mara hii ilijaribu kutaka kuendeleza uteja lkn mchezo ulikuwa mgumu kwao baada ya kujikuta wakilazimisha sare. Ilikuwa ni timu ya Lugalo iliyoanza kupata goli kipindi cha kwanza lakini iliwachukua dakika...