Saturday, 14 January 2017

SVSC KATIKA UWANJA MPYA

 Timu ya SVSC imekuwa ikifanya mazoezi katika uwanja wa chuo kikuu cha Dar es salaam nyuma ya nyumba za wafanyakazi maeneo ya Survey. Timu imekuwa ikifanya mazoezi hapo pale inapotokea uwanja wake wa nyumbani ukiwa na ratiba nyingine. Baada ya Mazoezi wachezaji wakipumzika  ...

MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA

Mwenyekiti Bw. Peter Mweta kushoto na Bw. Suleiman Mgaya kulia wakipata chakula cha mchana siku ya boxing day Kama ilivyo ada kila mwaka timu ya SVSC kuadhimisha siku hii kwa kula pamoja na kubadilishana mawazo na kupanga mikakati ya mwaka mpya. Timu hukutana pamoja katika Bar ya Etina ambapo ndiyo makao makuu ya club hii. Wachezaji na wanachama wa SVSC wakipata chakula cha mchana Bw David Kiganga na familia yake pia walikwepo M/M/kiti...

WACHEZAJI WATATU WALIOSIMAMISHWA WAMALIZA ADHABU ZAO NA KUUNGANA NA TIMU

SVSC ni moja ya Timu za  Veterans ambazo nidhamu inatunzwa kwa hali ya juu sana. Lengo la Timu za veterans ni kwa ajili ya Michezo furaha na kusaidiana katika shuguli za kijamii. Kwa niaba ya Wapenzi na wanamichezo wa timu hii ya SVSC napenda kuwaahasa kupendana na kuheshimiana kama lilivyo lengo la timu yetu. Naomba umoja huu udumu na tuzidi kupendana Peter Mweta Mwenyekiti S...