Mwenyekiti wa SVSC Bw. Peter Mweta anapenda kutoa shukrani za dhati kwa wapenzi na wanachama wa SVSC waliofanikisha safari hii muhimu na ya kiistoria. Pia anapenda shukrani ziwaendee hata wale ambao hawakubahatika kwenda kwa sababu mbalimbali na kuwaomba wanachama kudumisha upendo na umoja huu.... (alisema) "Nimefarijika sana kufanikisha safari hii kwani tulikuwa tunaisubiri toka mwezi Augost na sasa imekamilika......"
Kundi la mwisho la wachezaji na wanachama wa SVSC lilirejea Dar es salaam salama kutokea Mwanza jana jioni kwa ndege ya shirika...