
Kiungo mchezesha timu Shabani Kambabhe akitoa pasi kwa mwenzake hayupo pichani. SVSC ilifungwa magoli 6-5
Ikiwa imesheheni vijana wenye uwezo mkubwa, Timu ya Floria iliwafunga wazee wa Survey Veterans kwa magoli 6-5
Timu ya Survey Veterans waliosimama mstari wa mbele kutoka kulia ni Siasa ( Siabonga), Agogo, Mwemezi, Innocent Lyimo, Shabani Kambabhe, Richard Mbunda, Hamad Shaweji, Mkapa, Elly na Mwalimu Bomba. walioinama mstari wa kati ni golikipa...