
Timu ya Kawe Veterans ilijikuta katika kipindi kigumu baada ya kufungwa magoli 4-1. Magoli ya SVSC yalifungwa na Kelvin, John Mbitu,Fumbuka na Baurton
------Angalia huo upaja........
Kiboko ya Malongo.....
........Huendi........Beki kisiki... Bilauri.....
Gooooooool.......
...