Thursday, 20 June 2019

MATUKIO MENGINE KABLA NA BAADA YA MICHEZO.

Timu ya SVSC ilipofika jijini Dodoma ilipokelewa na M/M/kiti na kuwakaribisha chakula jioni ambapo timu pia ilitembelewa na Wapenzi na wanachama mbalimbali ka Mh Ridhiwani kikwete, Pius na Wengine. ...

MATUKIO KATIKA MCHEZO

Weweeeee......Mchezaji wa SVSC Innocent Lyimo akimvisha kikoi mchezaji wa Dodoma Vetrans  Pamoja na ushindani lakini vionjo vilikwepo pia kupitia mpiga picha nguri wa habari za michezo. Bw. Jeff. Mwinyi mwinyi akiwamwaga mabeki watatu wa Dodoma veterans  ...

MICHEZO YA BONANZA MKOANI DODOMA.

Timu ya SVSC ilicheza michezo mitatu mchezo mmoja tulicheza na Dodoma Veterans na matokeo yalikuwa 2-2 na Mchezo wa pili SVSC ikafungwa kwa taabu sana na Mwanza Veterans kwa magoli 4-1 Wachezaji wa akiba.Kutoka kulia Innocent Lyimo, Meshack Mponda, Peter Ngassa Samwel Ntakamulenga na Godon  Benchi la ufundi na wachezaji wa Akiba wakifuatilia mchezo kwa makini. Kutoka kulia ni Captain Peter Ngasa, Mchezaji mwalikwa Samwel Ntakamulenga,...

SURVRY VETERANS SAFARINI DODOMA

Winga hatari Weston Kipangula akiwa siti ya mbele ili awahi kufika jijini Dodoma...... Timu ya Survey Veterans inasafiri leo kuelekea Makao Makuu ya nchi Dodoma kwa ajili ya kushiriki Bonanza lililoandaliwa na Dodoma Veterans. Timu iliondoka na Mwenyekiti wa Timu Bw. John Mbitu pamoja na viongozi wengine wa timu. Captain Peter Ngasa aliyesimama, akitoa maelekezo kabla ya safari kuanza. Benson mwemezi kulia na Sparon Ngassa wakisubiri usafiri...