
Timu ya Survey Veterans waliosimama mstari wa nyuma kutoka kushoto ni John Mbitu (Benteke), Bilaul, MOhamed Zengwe, Magoti, Iddi Ngaioneka ,Elly, S. Malongo, Faraji, na Peter Ndossa. Waliochuchuma kutoka kulia ni Rasul Ahmed, Emmanuel Mwandumbya, Joseph Mwasenga na Mussa Siwiti
Timu ya Mipango Veterans imeifunga timu ya SVSC magoli 4-3 katika uwanja wa Taifa.. Ikitangulia kwa magoli 3-0 hadi kipindi cha kwanza kumalizika, Survey Veterans ilikuja...