
Winga hatari" winga mwenye misuri minene na nguu nyingi, simzungumzii mtu mwingine, namzungumzia Deo Masanja, akitokea benchi, aliipatia goli la kuongoza timu ya SVSC baada ya kutoka mapumziko timu zote zikiwa zimetoshana nguvu. Timu ya SVSC imekuwa na matokeo mabaya toka mwaka umeanza. Na hii imetokana na kutokuwa na mazoezi ya pamoja baada ya kipindi kirefu cha mvua ambazo ziliharibu uwanja wetu wa nyumbani.
...