Thursday, 22 February 2018

KAWE VETERANS YAPIGWA MAGOLI 3-1 NA SURVEY VETERANS

Timu ya kawe Veterans ilijikuta kwenye kadhia kubwa baada ya kuchapwa goli 3-1 na timu ngumu ya SVSC.  katika uwanja wa nyumbani wa SVSC.. iliwachukua dakika 30 tu Suvey Veterans kupata goli kupitia mshambuluaji wake hatari Steven Nyenge (Stevovo) na magoli mngine yaliungwa na Albert Sengo Baadhi ya wachezaji wa SVSC wakimsikiliza Mwl Bomba hayuko pichani kabla ya mchezo ...