 |
Kiungo mchezesha timu Shabani Kambabhe akitoa pasi kwa mwenzake hayupo pichani. SVSC ilifungwa magoli 6-5 |
Ikiwa imesheheni vijana wenye uwezo mkubwa, Timu ya Floria iliwafunga wazee wa Survey Veterans kwa magoli 6-5
 |
Timu ya Survey Veterans waliosimama mstari wa mbele kutoka kulia ni Siasa ( Siabonga), Agogo, Mwemezi, Innocent Lyimo, Shabani Kambabhe, Richard Mbunda, Hamad Shaweji, Mkapa, Elly na Mwalimu Bomba. walioinama mstari wa kati ni golikipa Mbaga, Peter Simon, Gagarino, Batto, Michael Simbaulanga, Captain Peter Ngassa. Na waliokaa chini mstari wa mbele kutoka kushoto ni Magoti, Tresor, Nelson, Kilibe, Peter ndosa na Beki hatari. |
 |
Ticktack ...Peter Ndosa SVSC |
 |
….Gooo gogogoooooooo…… Macelo |
 |
Timu ya Florida Veterans |
0 comments:
Post a Comment