Timu ya Survey Veterans kutoka Dar e salaam, imeilaza timu ya Mwanza StareheVeterans kwa magoli 4-2 katika uwanja wa CCM Kilumba Jijini Mwanza.Magoli ya Survey VeteransYalifungwa na Peter Ngasa, magoli 2,Innocent Lyimo na Said Omary kwa mkwaju wa penati.Magoli ya wenyeji yalifungwa na Juma Amir Maftah na Mbuyi Yondani. Kikosi kilichoizamisha Mwanza Starehe Veterans kiliongozwa na Golikipa Kilibe, fullbacks James Kabambo na Dr Rasul Ahmed,...