Monday, 8 September 2014

SURVEY VETERANS YAIBUGIZA AZAM VETERANS 5-4

Timu ngumu ya SVSC imeifunga timu ya Azam veterans katika uwanja wake wa nymbani kwa mabao 5-4. Ilikuwa ni Azam waliotangulia kuzifumania nyavu za timu ya wapinzani wao.. lakini moto wa Survey Veterans uliwaka kipindi cha pili pale waliporudisha mabao yote na kuongeza la ushindi....

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA SURVEY VETERANS WAFANA

Mkutano mkuu wa wanachama na wapenzi wa SVSC wa kupitisha Rasimu ya katiba ULIOFANYIKA TAREHE 30/08/2014 ulifana sana. Wajumbe wengi walihudhuria na kutoa michango yao ya mawazo katika kufanikisha hilo.... Baadhi ya picha za matukio ya siku ya kikao...  Baadhi ya wanachama wakiwa wanasubiri mkutano kuanza.... "Hii nyama ngumu" ndiyo maneno Katibu Mkuu SVSC yaelekea alikuwa anayasema katika sherehe ya kujipongeza baada ya kumalizika...