Thursday, 16 October 2014

SURVEY VETERANS YASHIKA NAFASI YA PILI SERENGETI FIESTA BONANZA TCC CHANG'OMBE

Timu ya Survey Veterans ilishika nafasi ya pili baada ya kutolewa kwa penati  na timu ya Day Break katika mechi ya fainali. SVSC ilicheza kwa mafanikio baada ya kushinda mechi mbili na kupoteza moja katika kundi lake. Picha za matukio ya Bonanza hilo angalia hapo chini....  Chini na juu ni kikosi kilichoanza mechi ya kwanza na kushinda kwa goli 1-0 ...