Monday, 5 January 2015

MATUKIO KATIKA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015

Katika kuukaribisha mwaka mpya kumekuwepo na matukio ya kufurahisha na mwanzo mzuri kwa ushirikiano baina ya wachezaji na wanachama.  Kumekuwepo na hali ya ushindani katika mazoezi ambapo, baadhi ya wanachama wenzetu Bw. James Kabambo, Bw, Richard Shukia na Bw John Mbitu walitoa zawadi ambazo zilishindaniwa na timu ambazo mwalimu amekuwa akiziteua wakati wa mazoezi. Ambapo katika mechi ya jumapili Bw Carlos alifunga magoli matatu peke yake (hart-trick)...