Mwenyekiti wa Survey Veterans Sports Club anasikitika kutangaza
kifo cha mama mzazi wa Mwanachama mwenzetu Bw Dulla kilichotokea Jumatano tarehe
12/11/2014 Huko Mwanza.Bw. Dula amesafiri kwenda Mwanza kwa ajili ya msiba huo. Kama ilivyo ada na utaratibu wetu tumuombee na kumsaidia katika hali na mali katika kufanikisha msiba huu.
Mungu ailaze mahari pema peponi Roho ya marehemu mama yetu mpendwa
Amen
Peter Mweta
Mwenyekiti S...