
Timu hatari ya SVSC iliweza kutwaa ubingwa wa Bonanza siku ya jumamosi katika uwanja wa Neighbour's Madale Mivumoni kwa kuzifunga timu zote zilizoshiriki bonanza hilo. Mechi ya kwanza SVSC ilicheza na Madale Veterans na kuwafunga magoli 4-2,huku magoli mawili yakifungwa na Albert Sengo, Hamis Gaga (gagarino) akifunga goli moja na goli la nne likifungwa na Benjamin Magadula.
Mechi ya pili tulicheza na Wenyeji Neighbours Veterans na kuwafunga...