Saturday, 26 March 2016

TIMU BOMBA KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA MCHEZO

TIMU BOMBA KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA MCHEZO Timu Bomba iliyochaguliwa kwa ueledi  mkubwa na Mwl Bomba, ilitosha kuwatoa jasho timu Zengwe iliyochaguliwa kwa Zengwe kubwa, iliwachukua dk 15 timu Bomba kupata goli kwa shuti kali lililopigwa na Kiganga na kugonga mtambaa panga na kutinga wavun...

SURVEY VETERANS KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO KUELEKEA MASHINDANO YA MICHEZO YA PASAKA

SURVEY VETERANS KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO KUELEKEA MASHINDANO YA MICHEZO YA PASAKA Timu Zengwe kabla ya mchezo. Kutoka kulia waliochuchuma, Steven Nyenge, Kabambo jnr,Albart Sengo,Kipa hatari Ramadhani,Frank Gaspar. Waliosimama kutoka kushoto, Oscar Kobi, Adam Zengwe,PeterNgasa,B. Magadula,S. Kambabhe, Humphrey Machota,Innocent Mchaga,Carlos Mlinda, Peter Mweta, Dominic Mbwete na T. Bilauli Timu ya SVSC ilikuwa na mechi ya kirafiki kati ya...

SURVEY VETERANS YAPOKEA UGENI KUTOKA ZANZIBAR

SURVEY VETERANS YAPOKEA UGENI KUTOKA ZANZIBAR Timu ya wazee Sports Club kutoka Visiwa vya  Unguja na  Pemba, wapo jijini Dar es salaam kwa ajili ya michezo ya pasaka. Timu hii ambayo ni bingwa mtetezi wa michuano hii iliingia jijini Dar es salaa alhamisi na kupokelewa na wenyeji wao SVSC. Jana tarehe 25/03/2016 walicheza mchezo wa kirafiki na timu ya Tanzania Star na kufungwa magoli 4-3 katika viwanja vya Liders Club. leo tarehe 26/03/2016...

Tuesday, 22 March 2016

BOKO INTERNATIONAL VETERANS YAPIGWA BAO 4-1 NA SURVEY VETERANS

BOKO INTERNATIONAL VETERANS YAPIGWA BAO 4-1 NA SURVEY VETERANS Katika maandalizi kuelekea michezo ya Pasaka,timu za ukanda wa Boko zimekuwa na bahati mbaya sana pale zilipokutana na Miamba ya timu za Veterans Mkoa wa Dar es salaam timu y Survey Veterans yenye maskani yake maeneo ya Survey Dar es salaam.Baada ya Boko Beach Veterans kupigwa magoli 4-2 katika uwanja wake wa nyumbani ilikuwa zamu ya Boko International kupigwa magoli 4-1 katika uwanja...