Tuesday, 29 September 2015

MATUKIO YA PICHA KATIKA MECHI YA MAGOGONI VETERANS NA SURVEY VETERANS

kutoka kushoto Banyikwa, Bluce, Mohamed Adam na James Kabambo Musa Siwiti na Bluce kabla ya mechi kuanza Mwl Bomba mwenye suruali  akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo Magogoni veterans wakifanya maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo kuanza ...

Monday, 28 September 2015

UJIO WA BRUCE HELMAN WANOGESHA USHINDI WA SVSC

Ujiowa beki mbili wa timu ya Survey Veterans kutoka Marekani ulinogesha ushindi wa goli 4 kwa bila dhini ya Magogoni Veterans.Kma kawaida ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani iliwachukua dk 15 kupata goli lake la kwanza. Bruce Helman wa kwanza  kutoka kulia waliochuchumaa (white Man) aliisaidia timu yake kupata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Magogoni Veterans ...