
Kikosi cha SVSC kutoka kushoto mstari wa mbele Malongo S, Simbaulanga S., Mbitu J, Shomari H, Kilibe S, Captain Ngassa na Omary M. Waliosimama kutoa kulia ni Adam Zengwe,Innocent Lyimo,elvin Haule,Bilauri T, Hagai B na Shaban Kambabhe.
Benson Hagai, magoli mawili, Kelvin Goli moja na Button goli moja yalitosha kabisa kuwafundisha mpira timu ya Temboni Veterans. Ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani SVSC ilikuwa katika ubora wake iiwa...