Friday, 20 April 2018

ALBERT SENGO NA Dkt. MWINYI OMAR WAFUNGAJI BORA WA MASHINDANO YA PASAKA 2018

Albert Sengo akipokea zawadi ya ufungaji Bora kutoka kwa Mkurugenzi wa Etina Bi Caty huku wachezaji na wapenzi wakifurahi pamoja nae. ...Hongera sana  Dkt Omar Mwinyi akipokea zawadi ya ufungaji Bora kutoka kwa Mkurugenzi wa Etina Bi Caty huku wachezaji na wapenzi wakifurahi pamoja nae. ...Hongera sana  Frank Gaspar Kushoto, Salom Mvule katikati na John Mbitu wakifurahi pamoja na mfungaji bora Dkt Mwinyi aliyeonesha zawadi...

Wednesday, 18 April 2018

NI Dkt.OMARY MWINYI NA JEFF TIBENDA 2017

Shukran zangu za dhati kwa uongozi, wachezaji na wanachama wa Survey Veteran kwa kutambua mchango wangu na kunipatia tuzo ya kuwa mfungaji bora wa mwaka 2017. Tuzo hii ni chachu kubwa sana katika kufanya vizuri zaidi. Pia nawashkuru kwa kunipa zawadi ya mfungaji katika mechi ya fainali dhidi ya Wazee Veteran kutoka Zanzibar Kutoka kulia ni Mwenyekiti SVSC Bw. Peter Mweta, Dr Myinyi Omary mfungaji bora wa mwaka 2017, Jeff Tibenda mchezaji...

SHEREHE YA WAPENZI NA WANACHAMA WA SURVEY VETERANS KATIKA HAFLA YA UTOAJI WA ZAWADI

Mwenyekiti Survey Veterans Bw. Peter Mweta akiwahutubia wanachama na wapenzi wa Survey Veterans juu ya sherehe ya utoaji wa Zawadi kwa washindi wa mwaka 2017 na wafuNgaji bora wa mashindano ya pasaka ambapo Survey Veterans ilichukua kikombe kwa mara ya tatu mfurulizo Wwapenzi na wanachama wa SVSC wakimsikilizqa mwenyekiti  aliyeshika Mike"( Luice tety kushoto, Chacha KIbago mwenye tshirt nyeusi, Innocent Lyimo mchaga mwenye t shirt ya...