
Timu ya SVSC imelazimishwa suluhu ya bila magoli na kutolewa kwa matuta kwa kufungwa magoli 2-1. Goli zuri lililofungwa na Steven Nyenge na mengine matatu yaliyopigwa na Osca Mwambinga. Faraji Ghalib na Said Omari yaligonga miamba ya juu na pembeni na kutoka nje,
Hadi mwisho wa mchezo Wazee Veterans2 na Survey Veterans 1.
...