![]() |
Shukran zangu za dhati kwa uongozi, wachezaji na wanachama wa Survey Veteran kwa kutambua mchango wangu na kunipatia tuzo ya kuwa mfungaji bora wa mwaka 2017. Tuzo hii ni chachu kubwa sana katika kufanya vizuri zaidi. Pia nawashkuru kwa kunipa zawadi ya mfungaji katika mechi ya fainali dhidi ya Wazee Veteran kutoka Zanzibar |
![]() |
Kutoka kulia ni Mwenyekiti SVSC Bw. Peter Mweta, Dr Myinyi Omary mfungaji bora wa mwaka 2017, Jeff Tibenda mchezaji mwenye nidhamu 2017 na wa mwisho ni M//Kiti Bw Shaban Kambabhe |
![]() |
Bw Jeff Tibenda kushoto na Dr Mwinyi Omary wakionesha vyeti vyao vya ushindi baada ya kukabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika klabuni Etina Bar and Restaurant |
0 comments:
Post a Comment